Nainštalujte si bezplatnú mobilnú aplikáciu Online Radio Box do smartfónu a počúvajte svoje obľúbené rádiové stanice online kdekoľvek!
Nainštalujte si aplikáciu Online Radio Box aplikáciu do smartfónu a počúvajte svoje obľúbené rádiové stanice online kdekoľvek!
09:00 |
TUNDUMA SPORTS (T.SPORTS)
Kumpa haki yake msikilizaji
na mpenzi wa michezo
sambamba na kuchochea
jamii kupenda na kushiriki
katika michezo mbalimbali
kwenye maeneo yao.
|
11:00 |
DIRA YA SIKU
Kila mmoja ajue habari,
matukio na maagizo,
maelekezo mbalimbali
kutoka katika mamlaka
mbalimbali ikiwemo
Serikali
|
12:00 |
MAHUBIRI
Kuwajulisha watu habari
njema za Yesu Kristo na
kuwavuta kuja kwake
(kuokolewa)
|