Ta strona internetowa wykorzystuje cookies. Kontynuowanie pracy z witryny, wyrażasz zgodę na naszą politykę za pomocą plików cookies.

Instałuj darmową aplikację mobilną Online Radio Box do swego smartfonu i słuchaj uliubionę stacji radiowe na żywo gdziekolwiek!

×
Lubię to ? Zapisz do ulubionych
×
Lubię to ? Zostaw swoją opinię!
×
×

Jumapili Club

Ni
13:30
Kipindi kinachohusu kutafuta marafiki,kutafutana kwa watu waliopotezana burudani ya muziki kila siku ya jumapili. Wasikilizaji ni Watu wa rika zote.

Instałuj darmową aplikację Online Radio Box do swego smartfonu i słuchaj uliubionę stacji radiowe na żywo gdziekolwiek!

Program

02:00 Kibaoni
Kipindi kinachousu Yaliyojiri mitaani yenye kufunza, kuelimisha jamii na kuburudisha kila jumatatu mpaka ijumaa.
05:00 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
05:20 The Hits
Kipindi cha burudani kinachotoa taarifa mbalimbali za wasanii,mahojiano,muziki na burudani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
Cały program