This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to our policies regarding the use of cookies.

Install the free Online Radio Box app for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

×
Like ? Save it to your favorites
×
Like ? Leave your review!
×
×

Pwani Yetu

Sat
08:00
Kipindi cha muziki wa taarabu,historia yake na wanamuziki wa taarabu kila jumamosi. Wasikilizaji ni Watu wazima kuanzia miaka 18 na kuendelea.

Install the free Online Radio Box application for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

Program

02:00 Twende Shambani
Kipindi kitakachohusu kilimo na masuala yote yanayousu kilimo kila siku ya Jumamosi.
03:00 Dance na Rhumba
Kipimdi cha burudani ya muziki wa Afrika katika miondoko ya dansi,Rhumba na bolingo habari za wasanii wa muziki huo na taarifa za muziki huo kila siku ya jumamosi.
05:00 Makala
Muda wa kusikiliza makala mbalimbali za kijamii zilizoandaliwa katika sekta za afya,uchumi,nishati,biashara kila jumamosi.
Entire program