Installer den gratis Online Radio Box-appen på din smartphone, og lyt til dine foretrukne radiostationer online – uanset hvor du er!
Installer den gratis Online Radio Box applikation på din smartphone, og lyt til dine foretrukne radiostationer online – uanset hvor du er!
09:00 |
Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
|
09:30 |
Global Round up
Kipindi kinachotoa taarifa mbalimbali za kijamii,siasa,saikolojia,mitandaoni na nyinginezo kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
|
10:00 |
Matangazo ya Rfi swahili
Unasikiliza Matangazo ya redio france kiswahili kila siku ya jumatatu mpaka siku ya ijumaa. walengwa ni watu wa rika zote.
|