เว็บไซต์นี้ใช้คุกกี้ cookies โดยการดำเนินการใช้เว็บไซต์นี้ต่อ จะถือว่าคุณยอมรับต่อนโยบายเกี่ยวกับการใช้คุกกี้ของเรา

ติดตั้งแอปพลิเคชันมือถือ Online Radio Box ฟรีสำหรับสมาร์ตโฟนของคุณและฟังสถานีวิทยุโปรดของคุณทางออนไลน์ได้ทุกที่!

×
ถูกใจ ? บันทึกมันไว้ในรายการโปรดของคุณ
×
ถูกใจ ? ฝากการรีวิวของคุณ
×
×
ยืนเคียงข้างยูเครน รักษาสันติสุขในโลกนี้!

Lumen FM Radio

Arusha, 91.7 MHz FM
คะแนน: 5.0 ความคิดเห็น: 1
Lumen Radio ni Redio ya Kikristo inayotangaza Kupitia Masafa Ya Fm 91.7 Mhz toka Wilaya ya Karatu jijini Arusha Tanzania Ukanda Wa Bonde La Ufa Kwenye Jamii Ya Wahadzabe Wadatoga Waberbeig Wambulu Wamaasai Na Makabila Mchanganyiko Katika Ukanda Wa Bonde La ufa "Hii Ni Nuru ya Ulimwengu" Lumen Radio Ni Redio Ya Kikristo Isiyo Fungamana Na Dhehebu Lolote , Lengo la Redio Hii ni Kuhabarisha Kuburudisha Kuelimisha Na kuibadili Jamii Katika Mrengo Unaompendeza Yesu Kristo
13 0

รีวิว
 Lumen FM Radio

  • 5
    15.11.2024
    good radio station tunaipenda sana kuisikiliza

ข้อมูลติดต่อสถานีวิทยุ

ที่อยู่: lumen radio P.O.Box 10005 karatu Arusha
โทรศัพท์: +255762730660
เว็บไซต์:
Email: [email protected]
WhatsApp: +225685724078
Facebook: @profile.php
Instagram: @lumenradiotz
Youtube: @lumenonlinetv

Kwa Mawasiliano Na Matangazo:

Radio ± 255 76-273-0660
+255 766 080 883
Televisheni
+255 754307959

เวลาใน Arusha: 02:58, 02.23.2025

ติดตั้งแอป Online Radio Box แอปพลิเคชัน ฟรีสำหรับสมาร์ตโฟนของคุณและฟังสถานีวิทยุโปรดของคุณออนไลน์ – ไม่ว่าคุณจะอยู่ที่ไหน!

รายการ

21:00 Pambazua na Lumen
Kipindi hiki ufanywa na Watangazaji wanao simamia Matangazo kwenye vipindi vya Kesha ya Lumen Radio
22:00 Sunday Worship
Kipindi hiki ufanywa na Betina Respicious
02:00 Tubuni Mrejee
Kipindi hiki ufanywa na Mbeba Maono wa Lumen Media Eng. Na Mwl Tumainiel Mbwambo
รายการทั้งหมด