Állj Ukrajna mellé. Óvd a világbékét!
Radio Kwizera
Ngara, 97.9 MHz FM
Radio Kwizera is a broadcast radio station from Ngara, Tanzania providing Community, National and World News, Culture and Talk programs and exchange of information for promoting peace, security and development.
Radio Kwizera értékelésed
kadesi malenga
02.01.2024
Na wapata kutoka USA
Nayitwa Samuel kutoka Zambia mukowani Lusaka center nawatakiya afya njema Kwa mugonjwa anayepata hajari ya bodaboda Mungu amusayidiye apate kupona
Ramadhani Makalius
19.06.2023
Napenda sana vipindi vyenu na matangazo yenu..nasikiliza nikiwa Dar es salaam
Anzuruni Ndume
14.04.2023
Kipindi cha similizi Na Muziki huwa kinapita lini?
Samweli Bokoyi
09.01.2023
Kutoka usa 🇺🇸. Samueli bokoyi nawapata vizuri
Listening from Nairobi Kenya
Elie Abubakari
28.02.2022
Naitwa Elie napenda matangazoyenu,nawapata nikiwa kenya
Niliwakumbuka Kwizera Fm.. nasikiliza online nikiwa Mbeya Tanzania! John Castory kutoka Kasulu Kigoma.
Respicious Zacharia
24.12.2021
Nawapata online nikiwa dar es salaam by respicious zacharia kahoza mwihukeyo numusi mkuru
nice