Tyto webové stránky používají soubory cookies. Pokud budete nadále používat tyto webové stránky, pak souhlasíte s našimi zásadami používání souborů cookie.

Nainstalujte si na svůj smartphone zdarma aplikaci Online Radio Box a poslouchejte své oblíbené rozhlasové stanice online – ať jste kdekoliv!

×
To se mi líbí ? Uložte si to svých oblíbených
×
To se mi líbí ? Napište recenzi!
×
×
Stůjte za Ukrajinou. Zachraňte světový mír!

Lumen FM Radio

Arusha, 91.7 MHz FM
Hodnocení: 5.0 Recenze: 1
Lumen Radio ni Redio ya Kikristo inayotangaza Kupitia Masafa Ya Fm 91.7 Mhz toka Wilaya ya Karatu jijini Arusha Tanzania Ukanda Wa Bonde La Ufa Kwenye Jamii Ya Wahadzabe Wadatoga Waberbeig Wambulu Wamaasai Na Makabila Mchanganyiko Katika Ukanda Wa Bonde La ufa "Hii Ni Nuru ya Ulimwengu" Lumen Radio Ni Redio Ya Kikristo Isiyo Fungamana Na Dhehebu Lolote , Lengo la Redio Hii ni Kuhabarisha Kuburudisha Kuelimisha Na kuibadili Jamii Katika Mrengo Unaompendeza Yesu Kristo
13 0

Lumen FM Radio recenze

  • 5
    15.11.2024
    good radio station tunaipenda sana kuisikiliza

Kontakty

Adresa: lumen radio P.O.Box 10005 karatu Arusha
Telefon: +255762730660
Stránky:
Email: [email protected]
WhatsApp: +225685724078
Facebook: @profile.php
Instagram: @lumenradiotz
Youtube: @lumenonlinetv

Kwa Mawasiliano Na Matangazo:

Radio ± 255 76-273-0660
+255 766 080 883
Televisheni
+255 754307959

Čas ve městě Arusha: 11:53, 02.22.2025

Nainstalujte si na svůj smartphone zdarma aplikaci Online Radio Box a poslouchejte své oblíbené rozhlasové stanice online – ať jste kdekoliv!

Program

02:00 Ulipo Tupo
Ulipo tupo ni kipindi kinacho angazia masula ya kijamii jumatatu hadi ijumaa
03:00 Kesha Na Lumen
Kipindi hiki usimamia na Msimamizi wa Kiroho wa Kituo Mt. Antony Bendera akishirikiana na watumishi wa huduma ya Lumen Ministry
03:00 Mwanamke Na Uongozi
Kipindi hiki ufanywa na Jeniva John (Mama Caren )
Všechna program